Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Adabu na Tabia Njema / Kwa anayesema "Nakupenda kwa ajili ya Allah"

Kwa anayesema "Nakupenda kwa ajili ya Allah"

Adabu na Tabia Njema · 1 dua

Kwa anayesema "Nakupenda kwa ajili ya Allah" 0:00
Sikiliza
1

أَحَبَّكَ الَّذِي أَحْبَبْتَنِي لَهُ

Akupende ambae umenipenda mimi kwa ajili yake.

Chanzo: Abu Dawud 4/333.