1
وَلَكَ
Imepokewa kutoka kwa Abdillahi bin Sajis (r.a) amesema: Nilimjia Mtume (s.a.w) nikala katika chakula chake, kisha nikamwambia: ''Mwenyezi Mungu akusamehe Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu.'' Akaniambia: ''Nawe akusamehe.''
Chanzo: Ahmad 5/82, An-Nasa'i.