Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Furaha na Huzuni / Kumuombea laana adui

Kumuombea laana adui

Furaha na Huzuni · 1 dua

Kumuombea laana adui 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ مُنْزِلَ الْكِتَابِ, سَرِيعَ الْحِسَابِ, اهْزِمِ الأَحْزَابَ, اللَّهُمَّ اهزِمْهُمْ وَزَلْزِلْهُمْ

Ewe Mwenyezi Mungu, Mteremshaji wa kitabu, Mwepesi wa kuwahesabu (waja wako), vishinde vikosi. Ewe Mwenyezi Mungu, washinde na watetemeshe.

Chanzo: Muslim 3/1362.