Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Chakula na Vinywaji / Kwa aliyefuturu nyumbani kwa mtu

Kwa aliyefuturu nyumbani kwa mtu

Chakula na Vinywaji · 1 dua

Kwa aliyefuturu nyumbani kwa mtu 0:00
Sikiliza
1

أَفْطَرَ عِنْدَكُمُ الصَّائِمُونَ, وَأَكَلَ طَعَامَكُمُ الْأَبْرَارُ, وَصَلَّتْ عَلَيْكُمُ الْمَلاَئِكَةُ

Wamefuturu kwenu waliofunga, na wamekula chakula chenu watu wema, na Malaika wamewatakia rehema.

Chanzo: Abu Dawud 3/367, Ibn Majah 1/556, An-Nasa'i.