Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Chakula na Vinywaji / Dua ya aliyefunga akiletewa chakula asipokula

Dua ya aliyefunga akiletewa chakula asipokula

Chakula na Vinywaji · 1 dua

Dua ya aliyefunga akiletewa chakula asipokula 0:00
Sikiliza
1

إِذَا دُعِيَ أَحَدُكُمْ فَلْيُجِبْ, فَإِنْ كَانَ صَائِماً فَلْيُصَلِّ, وَإِنْ كَانَ مُفْطِراً فَلْيَطْعَمْ, وَمَعْنَى فَلْيُصَلِّ أَيْ فَلْيَدْعُ.

Akialikwa mmoja wenu aitikie wito, akiwa amefunga basi awaombee dua, na kama hakufunga basi ale.

Chanzo: Muslim 2/1054.