Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Hijja na Umra / Dua ya siku ya Arafa

Dua ya siku ya Arafa

Hijja na Umra · 1 dua

Dua ya siku ya Arafa 0:00
Sikiliza
1

قَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم: خَيْرُ الدُّعَاءِ دُعَاءُ يَوْمِ عَرَفَةَ, وَخَيْرُ مَا قُلْتُ أَنَا وَالنَّبيُّونَ مِنْ قَبْلِي: لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ, لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ

Bora ya dua ni dua ya siku ya Arafah, na bora ya (maneno) niliyoyasema mimi na Mitume kabla yangu ni: '' Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu hali ya kuwa peke yake hana mshirika wake, ni wake Ufalme, na ni zake sifa njema, naye juu ya kila kitu ni Muweza.''

Chanzo: At-Tirmizi.