Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Nyumba na Familia / Kujikinga na hila za mashetani

Kujikinga na hila za mashetani

Nyumba na Familia · 1 dua

Kujikinga na hila za mashetani 0:00
Sikiliza
1

أَعُوذُ بكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ الَّتِي لاَ يُجَاوِزُهُنَّ بَرٌّ وَلاَ فَاجِرٌ: مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ, وَبَرَأَ وَذَرَأَ, وَمِنْ شَرِّ مَا يَنْزِلُ مِنَ السَّمَاءِ, وَمِنْ شَرِّ مَا يَعْرُجُ فيهَا, وَمِنْ شَرِّ مَا ذَرَأَ فِي الْأَرْضِ, وَمِنْ شَرِّ مَا يَخْرُجُ مِنْهَا, وَمِنْ شَرِّ فِتَنِ اللَّيْلِ وَالنَّهَارِ, وَمِنْ شَرِّ كُلِّ طَارِقٍ إِلاَّ طَارِقاً يَطْرُقُ بِخَيْرٍ يَا رَحْمَنُ

Najilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyo kamilika ambayo hayapiti mwema wala muovu, kutokana na shari ya alichokiumba, na akakitengeneza, na kukianzisha. Na shari ya kinacho teremka kutoka mbinguni, na shari ya kinachopanda huko, na shari ya kinacho sambaa ardhini, na shari inayotoka ndani yake, na shari ya fitna za usiku, na za mchana, na shari ya kila anaegonga usiku, ila anaegonga kwa kheri, Ewe Mwenyezi Mungu wa Rehema.

Chanzo: Ahmad 3/419, Ibn As-Sunni (Hadith no. 637).