Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Nyumba na Familia / Maneno ya anayeogopa kumdhuru mtu kwa jicho

Maneno ya anayeogopa kumdhuru mtu kwa jicho

Nyumba na Familia · 1 dua

Maneno ya anayeogopa kumdhuru mtu kwa jicho 0:00
Sikiliza
1

إِذَا رَأَى أَحَدُكُم مِنْ أَخِيهِ, أَوْ مِنْ نَفْسِهِ, أَوْ مِنْ مَالِهِ مَا يُعْجِبُهُ [فَلْيَدْعُ لَهُ بِالْبَرَكَةِ] فَإِنَّ الْعَيْنَ حَقٌّ

Akiona mmoja wenu kwa ndugu yake, au kwake, au mali yake, kinachomfurahisha, akiombee baraka, kwani kijicho ni kweli. (Kwa kusema: ''Ewe Mwenyezi Mungu mbariki kwa hicho.'' ....Au aseme: ''Haya ndiyo Mwenyezi Mungu aliyoyataka, hakuna nguvu ila za Mwenyezi Mungu.''

Chanzo: Ahmad 4/447, Ibn Majah, Malik.