Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Nyumba na Familia / Kwa anayetaka kumwingilia mke wake

Kwa anayetaka kumwingilia mke wake

Nyumba na Familia · 1 dua

Kwa anayetaka kumwingilia mke wake 0:00
Sikiliza
1

بِسْمِ اللَّهِ, اللَّهُمَّ جَنِّبْنَا الشَّيْطَانَ, وَجَنِّبِ الشَّيْطَانَ مَا رَزَقْتَنَا

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu tuepushe na shetani, na muepushe shetani na ulicho turuzuku.

Chanzo: Al-Bukhari 6/141, Muslim 2/1028.