Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maradhi na Kifo / Kumtalkini anayekaribia kufa

Kumtalkini anayekaribia kufa

Maradhi na Kifo · 1 dua

Kumtalkini anayekaribia kufa 0:00
Sikiliza
1

مَنْ كَانَ آخِرُ كَلاَمِهِ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ دَخَلَ الْجَنَّةَ

Amesema Mtume (s.a.w): Mtu ambae neno lake la mwaisho litakuwa ni: (Laa ilaaha ila Allaah). ''Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu.'' .........Ataingia peponi.

Chanzo: Abu Dawud 3/190.