Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maradhi na Kifo / Dua kwa maiti baada ya kumfumba macho

Dua kwa maiti baada ya kumfumba macho

Maradhi na Kifo · 1 dua

Dua kwa maiti baada ya kumfumba macho 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِفُلاَنٍ (بِاسْمِهِ) وَارْفَعْ دَرَجَتَهُ فِي الْمَهْدِيِّينَ, وَاخْلُفْهُ فِي عَقِبِهِ فِي الْغَابِرِينَ, وَاغْفِرْ لَنَا وَلَهُ يَا رَبَّ الْعَالَمِينَ, وَافْسَحْ لَهُ فِي قَبْرِهِ, وَنَوِّرْ لَهُ فِيهِ

Ewe Mwenyezi Mungu msamehe- (jina la maiti)- na lipandishe daraja lake katika walio ongoka, na weka badili yake kwa aliyoyaacha nyuma, na utusamehe sisi na yeye Ewe Mola wa viumbe vyote, na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake.

Chanzo: Muslim 2/634.