Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maradhi na Kifo / Maiti anaposhushwa kaburini

Maiti anaposhushwa kaburini

Maradhi na Kifo · 1 dua

Maiti anaposhushwa kaburini 0:00
Sikiliza
1

بِسْمِ اللَّهِ وَعَلَى سُنَّةِ رَسُولِ اللَّهِ

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na kwa mwenendo wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w).

Chanzo: Abu Dawud 3/314 with an authentic chain, Ahmad.