1
اللَّهُمَّ اغْفِرْ لَهُ, اللَّهُمَّ ثَبِّتْهُ
Ewe Mwenyezi Mungu mfanye awe thabiti. Mtume (s.a.w) alikuwa akimaliza kuzika anasimama mbele ya kaburi kisha ansema: Muombeeni msamaha kwa Mwenyezi Mungu ndugu yenu na muombeeni kuthibitishwa kwani hivi sasa anaulizwa.
Chanzo: Abu Dawud 3/315, Al-Hakim 1/370.