Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maradhi na Kifo / Dua ya kuzuru makaburi

Dua ya kuzuru makaburi

Maradhi na Kifo · 1 dua

Dua ya kuzuru makaburi 0:00
Sikiliza
1

السَّلاَمُ عَلَيْكُمْ أَهْلَ الدِّيَارِ, مِنَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُسْلِمِينَ, وَإِنَّا إِنْ شَاءَ اللَّهُ بِكُمْ لاَحِقُونَ, [وَيَرْحَمُ اللَّهُ الْمُسْتَقدِمِينَ مِنَّا وَالْمُسْتأْخِرِينَ] أَسْاَلُ اللَّهَ لَنَا وَلَكُمُ الْعَافِيَةَ

Amani ishuke juu yenu watu wa nyumba za waumini na waislamu, nasi apendapo Mwenyezi Mungu, tutakutana nanyi, tunamuomba Mwenyezi Mungu atusamehe sisi na nyinyi, (na Mwenyezi Mungu, awarehemu wa mwanzo na mwisho) namuomba Mwenyezi Mungu atupe sisi na nyinyi afya njema.

Chanzo: Muslim 2/671, Ibn Majah 1/494, Muslim 2/671.