Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maradhi na Kifo / Kwa anayehisi maumivu mwilini

Kwa anayehisi maumivu mwilini

Maradhi na Kifo · 1 dua

Kwa anayehisi maumivu mwilini 0:00
Sikiliza
1

ضَعْ يَدَكَ عَلَى الَّذِي تَألَّمَ مِنْ جَسَدِكَ وَقُلْ: بِسْمِ اللَّهِ, ثَلاَثاً, وَقُلْ سَبْعَ مَرَّاتٍ: أَعُوذُ بِاللَّهِ وَقُدْرَتِهِ مِنْ شَرِّ مَا أَجِدُ وَأُحَاذِرُ

Weka mkono wako juu ya sehemu inayokuuma na kisha useme: ''Kwa jina la Mwenyezi Mungu. (mara tatu). Kisha useme mara saba: ''Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na kwa uwezo wake kutokana na shari ya ninachokisikia na ninachokiogopa.''

Chanzo: Muslim 4/1728.