Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Kumsifu Allah / Kinachomhifadhi Muislamu kutokana na Dajjali

Kinachomhifadhi Muislamu kutokana na Dajjali

Kumsifu Allah · 1 dua

Kinachomhifadhi Muislamu kutokana na Dajjali 0:00
Sikiliza
1

مَنْ حَفِظَ عَشْرَ آيَاتٍ مِنْ أَوَّلِ سُورَةِ الْكَهْفِ عُصِمَ مِنَ الدَّجَّالِ, وَالْاسْتِعَاذَةُ بِاللَّهِ مِنْ فِتْنَتِهِ عَقِبَ التَّشَهُّدِ الْأَخِيرِ مِنْ كُلِّ صَلاَةٍ

Yeyote anaehifadhi kwa moyo aya kumi za mwanzo wa Suratul-Kahf atakuwa na kinga ya kujiepusha na Dajjal Pia ni katika Sunnah kujilinda kwa Mwenyezi Mungu kutokana na fitna ya Dajjal baada ya tashahhud ya mwisho katika kila swala.

Chanzo: Muslim 1/555, Muslim 1/556.