Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Safari / Dua ya kuingia sokoni

Dua ya kuingia sokoni

Safari · 1 dua

Dua ya kuingia sokoni 0:00
Sikiliza
1

لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ, لَهُ الْمُلْكُ, وَلَهُ الْحَمْدُ, يُحْيِي وَيُمِيتُ, وَهُوَ حَيٌّ لاِ يَمُوتُ, بِيَدِهِ الْخَيْرُ, وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ

Hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu hali ya kuwa peke yake hana mshirika, ni wake Ufalme, na ni zake sifa njema, anahuisha na anafisha, nae ni hai asiyekufa, kheri iko mikononi mwake, na Yeye juu ya kila litu ni Muweza.

Chanzo: At-Tirmizi 5/291, Al-Hakim 1/538.