Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Chakula na Vinywaji / Dua ya mgeni kwa aliyemlisha

Dua ya mgeni kwa aliyemlisha

Chakula na Vinywaji · 1 dua

Dua ya mgeni kwa aliyemlisha 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ بَارِكْ لَهُمْ فِيمَا رَزَقْتَهُم, وَاغْفِرْ لَهُمْ وَارْحَمْهُمْ

Ewe Mwenyezi Mungu wabariki katika ulichowaruzuku na uwasamehe na uwarehemu.

Chanzo: Muslim 3/1615.