Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Chakula na Vinywaji / Baada ya kula

Baada ya kula

Chakula na Vinywaji · 2 dua

Baada ya kula 0:00
Sikiliza
1

الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي أَطْعَمَنِي هَذَا, وَرَزَقَنِيهِ, مِنْ غَيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلاَ قُوَّةٍ

Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambae amenilisha mimi chakula hiki na akaniruzuku pasina uwezo wangu wala nguvu zangu.

Chanzo: At-Tirmizi, Abu Dawud, Ibn Majah.

2

الْحَمْدُ لِلَّهِ حَمْداً كَثِيراً طَيِّباً مُبَارَكاً فِيهِ, غَيْرَ [مَكْفِيٍّ وَلاَ ] مُوَدَّعٍ, وَلاَ مُسْتَغْنَىً عَنْهُ رَبَّنَا

Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, sifa nyingi nzuri, zenye baraka ndani yake, zisizo toshelezwa, wala kuagwa wala kutoshwa (kutosheka) nazo mtu, Ewe Mola wetu.

Chanzo: Al-Bukhari 6/214, At-Tirmizi 5/507.