Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Hijja na Umra / Kupiga takbiri anapofika Jiwe Jeusi

Kupiga takbiri anapofika Jiwe Jeusi

Hijja na Umra · 1 dua

Kupiga takbiri anapofika Jiwe Jeusi 0:00
Sikiliza
1

طَافَ النَّبيُّ صلى الله عليه وسلم بِالْبَيْتِ عَلَى بَعِيرٍ كُلَّمَا أَتَى الرُّكْنَ أَشَارَ إِلَيْهِ بِشَيْءٍ عِنْدَهُ وَكَبَّرَ

Mtume (s.a.w) alitufu (kuzunguka Al-Kaabah) (akiwa) juu ya ngamia, kila anapofika katika Hajaril-As'wad (jiwe jeusi) alikuwa anaashiria kwa fimbo yake, na kusema: ''Mwenyezi Mungu ni Mkubwa.''

Chanzo: Al-Bukhari.