Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Hijja na Umra / Talbiya katika ihramu ya Hijja au Umra

Talbiya katika ihramu ya Hijja au Umra

Hijja na Umra · 1 dua

Talbiya katika ihramu ya Hijja au Umra 0:00
Sikiliza
1

لَبَّيْكَ اللَّهُمَّ لَبَّيْكَ, لَبَّيْكَ لاَ شَرِيكَ لَكَ لَبَّيْكَ, إِنَّ الْحَمْدَ, وَالنِّعْمَةَ, لَكَ وَالْمُلْكَ, لاَ شَرِيكَ لَكَ

Nimekuitikia Ewe Mwenyezi Mungu nimekuitikia, nimekuitikia huna mshirika wako nimekuitikia, hakika sifa njema, na neema na Ufalme, ni vyako, huna mshirika wako.

Chanzo: Al-Bukhari, Muslim 2/841.