Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Hijja na Umra / Dua kati ya Nguzo ya Yemen na Jiwe Jeusi

Dua kati ya Nguzo ya Yemen na Jiwe Jeusi

Hijja na Umra · 1 dua

Dua kati ya Nguzo ya Yemen na Jiwe Jeusi 0:00
Sikiliza
1

رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ

Alikuwa Mtume (s.a.w) akisema baina yake: ''Ewe Mwenyezi Mungu tupe katika dunia hii mema, na katika akhera mema, na utukinge na adhabu ya moto.''

Chanzo: Abu Dawud 2/179, Ahmad 3/411, Al-Baghawi Surah Al-Baqarah:201.