Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Hijja na Umra / Dua wakati wa kuchinja

Dua wakati wa kuchinja

Hijja na Umra · 1 dua

Dua wakati wa kuchinja 0:00
Sikiliza
1

بِسْمِ اللَّهِ وَاللَّهُ أَكْبَرُ [اللَّهُمَّ مِنْكَ وَلَكَ] اللَّهُمَّ تَقَبَّلْ مِنِّي

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu huyu (mnyama) anatoka kwako na ni wako, Ewe Mwenyezi Mungu nikubalie.

Chanzo: Muslim 3/1557, Al-Bayhaqi 9/287.