Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Hijja na Umra / Kupiga takbiri wakati wa kurusha vijiwe

Kupiga takbiri wakati wa kurusha vijiwe

Hijja na Umra · 1 dua

Kupiga takbiri wakati wa kurusha vijiwe 0:00
Sikiliza
1

يُكَبِّرُ كُلَّمَا رَمَى بِحَصَاةٍ عِنْدَ الْجِمَارِ الثَّلاَثِ, ثُمَّ يَتَقَدَّمُ, ويَقِفُ يَدْعُو مُسْتَقْبِلَ الْقِبلَةِ, رَافِعاً يَدَيْهِ بَعْدَ الْجَمْرَةِ الْأُولَى وَالثَّانِيَةِ. أَمَّا جَمْرَةُ الْعَقَبَةِ فَيَرْمِيهَا وَيُكَبِّرُ عِنْدَ كُلِّ حَصَاةٍ وَيَنْصَرِفُ وَلاَ يَقِفُ عِنْدَهَا

Alikuwa Mtume (s.a.w) kila anaporusha kijiwe katika Jamarah (nguzo) tatu anasema: ''Mwenyezi Mungu ni Mkubwa.'' ....Anapomaliza kurusha vijiwe saba katika Jamarah (nguzo) ya kwanza, alikuwa anasogea mbele kidogo, anasimama kuelekea Qiblah, hali ya kuwa ameinua mikono yake, kisha anaanza kumuomba Mwenyezi Mungu. Alikuwa akifanya hivo katika Jamarah ya kwanza na ya pili tu, ama (Jamara) ya tatu alikuwa hasimami bali akimaliza anaondoka.

Chanzo: Al-Bukhari, Muslim