Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Furaha na Huzuni / Wakati wa jambo la ajabu au la kufurahisha

Wakati wa jambo la ajabu au la kufurahisha

Furaha na Huzuni · 2 dua

Wakati wa jambo la ajabu au la kufurahisha 0:00
Sikiliza
1

سُبْحَانَ اللَّهِ!

Ametakasika Mwenyezi Mungu.

Chanzo: Al-Bukhari, Muslim 4/1857.

2

اللَّهُ أَكْبَرُ!

Mwenyezi Mungu ni Mkubwa.

Chanzo: Al-Bukhari, Ahmad 5/218.