Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Furaha na Huzuni / Linapomfurahisha au kumchukiza jambo

Linapomfurahisha au kumchukiza jambo

Furaha na Huzuni · 1 dua

Linapomfurahisha au kumchukiza jambo 0:00
Sikiliza
1

كَانَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم إِذَا أَتَاهُ الْأَمْرُ يَسُرُّهُ قَالَ: (الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي بِنِعْمَتِهِ تَتِمُّ الصَّالِحَاتُ) وَإِذَا أَتَاهُ الْأَمْرُ يَكْرَهُهُ قَالَ: (الْحَمْدُ لِلَّهِ عَلَى كُلِّ حَالٍ)

Alikuwa Mtume (s.a.w) ikimjia habari ya kufurahisha akisema: ''Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambae kwa neema yake yanatimia mambo mema.'' Na ikimjia habari ya kusikitisha husema: ''Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu kwa hali zote.''

Chanzo: Ibn As-Sunni, Sahih al-Jami' as-Saghir 4/201.