Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Furaha na Huzuni / Kukataza kuamini mikosi

Kukataza kuamini mikosi

Furaha na Huzuni · 1 dua

Kukataza kuamini mikosi 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ لاَ طَيْرَ إِلاَّ طَيْرُكَ, وَلاَ خَيْرَ إِلاَّ خَيْرُكَ, وَلاَ إِلَهَ غَيْرُكَ

Ewe Mwenyezi Mungu hapana ndege mbaya ila ndege wako, na hapana kheri ila kheri yako, na hapana apasae kuabudiwa kwa haki asiyekuwa Wewe.

Chanzo: Ahmad 2/220, Ibn As-Sunni (Hadith no. 292).