Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Furaha na Huzuni / Kwa anayeogopa kuingia katika shirki

Kwa anayeogopa kuingia katika shirki

Furaha na Huzuni · 1 dua

Kwa anayeogopa kuingia katika shirki 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ أَنْ أُشْرِكَ بِكَ وَأَنَا أَعْلَمُ, وَأَسْتَغْفِرُكَ لِمَا لاَ أَعْلَمُ

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na kukushirikisha hali ya kuwa najua, na ninakutaka msamaha kwa nisilolijua.

Chanzo: Ahmad 4/403.