Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Furaha na Huzuni / Kwa anayefurahishwa na jambo

Kwa anayefurahishwa na jambo

Furaha na Huzuni · 1 dua

Kwa anayefurahishwa na jambo 0:00
Sikiliza
1

كَانَ النَّبيُّ صلى الله عليه وسلم إِذَا أَتَاهُ أَمْرٌ يَسُرُّهُ أَوْ يُسَرُّ بِهِ خَرَّ سَاجِداً شُكْراً لِلَّهِ تَبَارَكَ وَتَعَالَى

Alikuwa Mtume (s.a.w) ikimjia habari ya kufurahisha anasujudu kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Chanzo: Abu Dawud, Ibn Majah, At-Tirmizi.