يَسْتَعِيذُ بِاللَّهِ, يَنْتَهِي عَمَّا وَسْوَسَ فِيهِ
(Wakati wa wasiwasi wa shetani) ajilinde kwa Allah (yaani aseme: "Najilinda kwa Allah kutokana na shetani aliyelaaniwa") na aache lile analoshawishiwa nalo.
Chanzo: Al-Bukhari, Muslim 1/120.
Furaha na Huzuni · 3 dua

يَقُولُ: آمَنْتُ بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ
Aseme: ''Nimemuamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake.
Chanzo: Muslim, 1/119-20.
يَقْرَأُ قَوْلَهُ تَعَالَى: ﴿هُوَ الْأوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظّاهِرُ وَالْباطِنُ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ﴾
Asome aya hii katika Qur'an:- {Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu}. (Suratul-Hadiid: 3).
Chanzo: Al-Hadid 57:3, Abu Dawud 4/329.
Maandishi ya Kiarabu na chanzo chake ni sahihi. Vipengele vilivyowekwa alama ya “AI” vimetafsiriwa kimashine katika lugha yako na vinaweza kuwa na makosa — rejeleo ni Kiarabu. Gusa “Ripoti” kwenye kipengele chochote ili kuripoti tatizo.