Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Asubuhi na Jioni / Kwa anayeogopa au kuhangaika usingizini

Kwa anayeogopa au kuhangaika usingizini

Asubuhi na Jioni · 1 dua

Kwa anayeogopa au kuhangaika usingizini 0:00
Sikiliza
1

أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ غَضَبِهِ وَعِقَابِهِ, وَشَرِّ عِبَادِهِ, وَمِنْ هَمَزَاتِ الشَّياطِينِ وَأَنْ يَحْضُرُونِ

'Najilinda na maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia kutokana na hasira zake, na adhabu yake, na shari ya waja wake, na vioja vya shetani na kuniijia kwao.''

Chanzo: Abu Dawud 4/12, Sahih At- Tirmithi 3/171.