Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Asubuhi na Jioni / Kwa anayejigeuzageuza kitandani usiku

Kwa anayejigeuzageuza kitandani usiku

Asubuhi na Jioni · 1 dua

Kwa anayejigeuzageuza kitandani usiku 0:00
Sikiliza
1

لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ الْوَاحِدُ الْقَهّارُ, رَبُّ السَّمَوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا الْعَزيزُ الْغَفَّارُ

Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja aliyeshinda, Mola wa mbingu na ardhi na vilivyo kati yake, Aliyetukuka Mwingi wa msamaha.

Chanzo: Al-Hakim, An-Nasa'i, Ibn As-Sunni.