Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maumbile ya Asili / Upepo mkali unapovuma

Upepo mkali unapovuma

Maumbile ya Asili · 2 dua

Upepo mkali unapovuma 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ خَيْرَهَا, وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهَا

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba kheri ya upepo huu, na na najikinga kwako na shari yake.

Chanzo: Abu Dawud 4/326, Ibn Majah 2/1228.

2

اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ خَيْرَهَا, وَخَيْرَ مَا فِيهَا, وَخَيْرَ مَا أُرْسِلَتْ بِهِ, وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهَا, وَشَرِّ مَا فِيهَا, وَشَرِّ مَا أُرْسِلَتْ بِهِ

Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba kheri yake na kheri ya kilicho ndani yake, na kheri ya uliyoituma ndani yake, na najikinga kwako kutokana na shari yake, na shari iliyoko ndani yake, na shari iliyotumwa nao.

Chanzo: Muslim 2/616, Al-Bukhari 4/76.