1
سُبْحَانَ الَّذِي يُسَبِّحُ الرَّعْدُ بِحَمْدِهِ وَالْمَلاَئِكةُ مِنْ خِيفَتِهِ
Alikuwa Abdallah bin Zubeir (r.a) akisikia radi basi huacha mazungumzo , badala yake husema: ''Ametakasika yule ambae radi zinamtakasa kwa sifa zake, na Malaika pia kwa kumuogopa.''
Chanzo: Al-Muwatta' 2/992.