Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maumbile ya Asili / Dua ya kuomba mvua

Dua ya kuomba mvua

Maumbile ya Asili · 3 dua

Dua ya kuomba mvua 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ اسْقِنَا غَيْثاً مُغِيثاً مَرِيئاً مَرِيعاً, نَافِعاً غَيْرَ ضَارٍّ, عَاجِلاً غَيْرَ آجِلٍ

Ewe Mwenyezi Mungu tunyeshelezee mvua yenye kuokoa, nyingi, yenye kustawisha, yenye manufaa isiyodhuru, ya harakaisiyochelewa.

Chanzo: Abu Dawud 1/303.

2

اللَّهُمَّ أَغِثْنَا, اللَّهُمَّ أَغِثْنَا, اللَّهُمَّ أَغِثْنَا

Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua, Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua, Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua.

Chanzo: Al-Bukhari 1/224, Muslim 2/613.

3

اللَّهُمَّ اسْقِ عِبَادَكَ, وَبَهَائِمَكَ, وَانْشُرْ رَحْمَتَكَ, وَأَحْيِي بَلَدَكَ الْمَيِّتَ

Ewe Mwenyezi Mungu wanyeshelezee waja wako, na wanyama wako, na eneza rehema zako, na fufua nchi yako iliyokufa.

Chanzo: Abu Dawud 1/305.