Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Kumsifu Allah / Kwa aliyetenda dhambi

Kwa aliyetenda dhambi

Kumsifu Allah · 1 dua

Kwa aliyetenda dhambi 0:00
Sikiliza
1

مَا مِنْ عَبْدٍ يُذنِبُ ذَنْباً فَيُحْسِنُ الطُّهُورَ, ثُمَّ يَقُومُ فَيُصَلِّي رَكْعَتَيْنِ, ثُمَّ يَسْتَغْفِرُ اللَّهَ إِلاَّ غَفَرَ اللَّهُ لَهُ

Hakuna mja yeyote yule anaefanya dhambi kisha akatawadha vizuri na akaswali rakaa mbili, kisha akamtaka Mwenyezi Mungu msamaha ila atasamehewa.

Chanzo: Abu Dawud 2/86, At-Tirmizi 2/257.