Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Safari / Dua ya anayebaki kwa msafiri

Dua ya anayebaki kwa msafiri

Safari · 2 dua

Dua ya anayebaki kwa msafiri 0:00
Sikiliza
1

أَسْتَوْدِعُ اللَّهَ دِينَكَ, وَأَمَانَتَكَ, وَخَوَاتِيمَ عَمَلِكَ

Naweka amana kwa Mwenyezi Mungu dini yako na uaminifu wako na mwisho wa matendo yako.

Chanzo: Ahmad 2/7, At-Tirmizi 5/499.

2

زَوَّدَكَ اللَّهُ التَّقْوَى, وَغَفَرَ ذَنْبَكَ, وَيَسَّرَ لَكَ الخَيْرَ حَيْثُ ما كُنْتَ

Mwenyezi Mungu akuzidishie ucha Mungu, na akusamehe madhambi yako, na akufanyie wepesi katika kheri popote ulipo.

Chanzo: At-Tirmizi.