Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Safari / Kutukuza na kumtakasa Allah safarini

Kutukuza na kumtakasa Allah safarini

Safari · 1 dua

Kutukuza na kumtakasa Allah safarini 0:00
Sikiliza
1

قَالَ جَابِرٌ رضي الله عنه: كُنَّا إِذَا صَعَدْنَا كَبَّرْنَا, وَإِذَا نَزَلْنَا سَبَّحْنَا

Imepokelewa kutoka kwa Jaabir (r.a) amesema: Tulikuwa tukipanda mlima tunasema; ''Mwenyezi Mungu ni Mkubwa'' Na tukishuka tunasema: ''Ametakasika Mwenyezi Mungu.''

Chanzo: Al-Bukhari, cf. Al-Asqalani, Fathul-Bari 6/135.