Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Safari / Maneno ya msafiri kabla ya alfajiri

Maneno ya msafiri kabla ya alfajiri

Safari · 1 dua

Maneno ya msafiri kabla ya alfajiri 0:00
Sikiliza
1

سَمَّعَ سَامِعٌ بِحَمْدِ اللَّهِ, وَحُسْنِ بَلاَئِهِ عَلَيْنَا, رَبَّنَا صاحِبْنَا, وَأَفْضِلْ عَلَيْنَا, عَائِذاً بِاللَّهِ مِنَ النَّارِ

Amesikia msikilizaji kusifiwa kwa Mwenyezi Mungu, na uzuri wa neema zake juu yetu. Mola wetu kuwa nasi na tufadhilishe, hali ya kuwa tunajilinda kwa Mwenyezi Mungu kutokana na moto.

Chanzo: Muslim 4/2086.