Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Adabu na Tabia Njema / Kwa aliyeshikwa na hasira

Kwa aliyeshikwa na hasira

Adabu na Tabia Njema · 1 dua

Kwa aliyeshikwa na hasira 0:00
Sikiliza
1

أَعُوذُ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ

Najilinda kwa Mwenyezi Mungu kutokana na shetani aliyeepushwa na kuwekwa mbali na rehema za Mwenyezi Mungu.

Chanzo: Al-Bukhari 7/99, Muslim 4/2015.