Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Adabu na Tabia Njema / Kwa anayemwona mtu aliyepatwa na ugonjwa

Kwa anayemwona mtu aliyepatwa na ugonjwa

Adabu na Tabia Njema · 1 dua

Kwa anayemwona mtu aliyepatwa na ugonjwa 0:00
Sikiliza
1

الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي عَافَانِي مِمَّا ابْتَلاَكَ بِهِ, وَفَضَّلَنِي عَلَى كَثِيرٍ مِمَّنْ خَلَقَ تَفْضِيلاً

Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambae ameniepusha na kile alichokupa mtihani, na akanifanya mimi kuwa bora kuliko wengi miongoni mwa aliowaumba.

Chanzo: At-Tirmizi 5/493,494.