عَنِ ابْنِ عُمَرَ رضي الله عنهما قَاَلَ: كَانَ يُعَدُّ لِرَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي الْمَجْلِسِ الوَاحِدِ مِائَةُ مَرَّةٍ مِنْ قَبْلِ أَنْ يَقُومَ: (رَبِّ اغْفِرْ لِي, وَتُبْ عَلَيَّ, إِنَّكَ أَنْتَ التَّوَّابُ الغَفُورُ
Ibn Umar (Allah awaridhie wote wawili) alisema: Alikuwa akihesabiwa kwa Mtume wa Allah (rehema na amani za Allah ziwe juu yake) katika kikao kimoja, kabla hajasimama, mara mia: "Mola wangu! Nisamehe na uikubali toba yangu; hakika Wewe ndiwe Mwingi wa kukubali toba, Mwingi wa kusamehe."
Chanzo: Sahih Ibn Majah 2/321, Sahih At-Tirmizi 3/153.