Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Adabu na Tabia Njema / Dua ya anayeoa au kununua mtumishi

Dua ya anayeoa au kununua mtumishi

Adabu na Tabia Njema · 1 dua

Dua ya anayeoa au kununua mtumishi 0:00
Sikiliza
1

إِذَا تَزَوَّجَ أَحَدُكُمُ امْرَأَةً, أَوْ إِذَا اشْتَرَى خَادِماً فَلْيَقُلْ: اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ خَيْرَهَا, وَخَيْرَ مَا جَبَلْتَهَا عَلَيْهِ, وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهَا, وَشَرِّ مَا جَبَلْتَهَا عَلَيْهِ, وَإِذَا اشْتَرَى بَعِيراً فَلْيَأْخُذْ بِذِرْوَةِ سَنَامِهِ وَلْيَقُلْ مِثْلَ ذَلِكَ

Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba kheri ya (mke) huyu, na kheri ya maumbile uliyo muumba nayo, na najilinda kwako na shari yake, na shari ya maumbile uliyo muumba nayo, Na akinunua mnyama atamshika kichwa chake kisha atasoma dua hiyo.

Chanzo: Abu Dawud 2/248, Ibn Majah 1/617.