Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Adabu na Tabia Njema / Jinsi ya kujibu salamu ya kafiri

Jinsi ya kujibu salamu ya kafiri

Adabu na Tabia Njema · 1 dua

Jinsi ya kujibu salamu ya kafiri 0:00
Sikiliza
1

إذَا سَلَّمَ عَلَيْكُمْ أَهْلُ الْكِتَابِ فَقُولُوا: وَعَلَيْكُمْ

Wanapowasalimia ahlul-kitabu (makafiri) wajibuni: ''Na juu yenu''

Chanzo: Al-Bukhari, Muslim 4/1705.