Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Chakula na Vinywaji / Wakati wa kufuturu

Wakati wa kufuturu

Chakula na Vinywaji · 2 dua

Wakati wa kufuturu 0:00
Sikiliza
1

ذَهَبَ الظَّمَأُ وَابْتَلَّتِ العُرُوقُ, وَثَبَتَ الْأَجْرُ إِنْ شَاءَ اللَّهُ

Kiu kimeondoka, na mishipa imelainika, na yamethibiti malipo Mwenyezi Mungu akipenda.

Chanzo: Abu Dawud 2/306.

2

اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ بِرَحْمَتِكَ الَّتِي وَسِعَتْ كُلَّ شَيْءٍ أَنْ تَغْفِرَ لِي

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba kwa rehema zako ambazo zimeenea kila kitu, unisamehe. (Imepokewa kutoka kwa Abdillahi bin Amr bin Al-Ass (r.a) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w): ''Aliyefunga wakati wa kufuturu kwake, ana dua isiyorudishwa.'')

Chanzo: Ibn Majah 1/557.