Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Nyumba na Familia / Dua zinazomfukuza Shetani na wasiwasi wake

Dua zinazomfukuza Shetani na wasiwasi wake

Nyumba na Familia · 3 dua

Dua zinazomfukuza Shetani na wasiwasi wake 0:00
Sikiliza
1

الْاسْتِعَاذَةُ بِاللَّهِ مِنْهُ

Mambo yafuatayo yanatakiwa kufuatwa pindi anapotolewa shetani: ''Kumuomba Mwenyezi Mungu akuhifadhi nae''.

Chanzo: Abu Dawud 1/206, At-Tirmizi.

2

الْأَذَانُ

Kumuadhinia.

Chanzo: Muslim 1/291, Al-Bukhari 1/151.

3

الْأَذْكَارُ وَقِرَاءَةُ الْقُرْآنِ

Kusoma nyiradi zilizopokewa kutoka kwa Mtume (s.a.w) na kusoma Qur,ani.

Chanzo: Muslim 1/539.