1
بِسْمِ اللَّهِ وَلَجْنَا, وَبِسْمِ اللَّهِ خَرَجْنَا, وَعَلَى اللَّهِ رَبِّنَا تَوَكَّلْنَا, ثُمَّ لِيُسَلِّمْ عَلَى أَهْلِهِ
Kwa jina la Mwenyezi Mungu tunaingia, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tunatoka, na Mola wetu tunamtegemea. Kisha asalimie walio ndani:
Chanzo: Abu Dawud 4/325.