Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maradhi na Kifo / Dua ya kuwalinda watoto

Dua ya kuwalinda watoto

Maradhi na Kifo · 1 dua

Dua ya kuwalinda watoto 0:00
Sikiliza
1

كَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يُعَوِّذُ الحَسَنَ وَالحُسَينَ رضي الله عنهما (أُعِيذُكُمَا بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّةِ مِنْ كُلِّ شَيْطَانٍ وَهَامَّةٍ, وَمِنْ كُلِّ عَيْنٍ لاَمَّةٍ)

Imepokelewa na Ibn Abbas (r.a) amesema: Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu akiwakinga wajukuu zake (Hassan na Hussein) akisema: ''Nawakinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia, awakinge kutokana na kila shetani, na uvamizi, na kila jicho lenye kudhuru.''

Chanzo: Al-Bukhari 4/119.