Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maumbile ya Asili / Kwa anayeona matunda ya kwanza

Kwa anayeona matunda ya kwanza

Maumbile ya Asili · 1 dua

Kwa anayeona matunda ya kwanza 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِي ثَمَرِنَا, وَبَارِكْ لَنَا فِي مَدِينَتِنَا, وَبَارِكْ لَنَا فِي صَاعِنَا, وَبَارِكْ لَنَا فِي مُدِّنَا

Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie matunda yetu, na tubarikie mji wetu, na tubarikie pishi (Swaa) yetu, na tubarikie kibaba (Mudd) chetu. (Swaa moja ni sawa na Mudd nne, na Mudd moja ni kipimo cha viganja vya mikono mara nne).

Chanzo: Muslim 2/1000.