Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maumbile ya Asili / Anaposikia wiko wa jogoo au mlio wa punda

Anaposikia wiko wa jogoo au mlio wa punda

Maumbile ya Asili · 1 dua

Anaposikia wiko wa jogoo au mlio wa punda 0:00
Sikiliza
1

إِذَا سَمِعْتُمْ صِيَاحَ الدِّيَكَةِ فَاسْأَلُوا اللَّهَ مِنْ فَضْلِهِ؛ فَإِنَّهَا رَأَتْ مَلَكاً وَإِذَا سَمِعْتُمْ نَهِيقَ الْحِمَارِ فَتَعَوَّذُوا بِاللَّهِ مِنَ الشَّيطَانِ؛ فَإِنَّهُ رَأَى شَيْطَاناً

Amesema Mtume (s.a.w): ''Mkisikia mlio wa jogoo muombeni Mwenyezi Mungu fadhila zake kwani huwa amemuona Malaika, na mkisikia mlio wa punda basi takeni hifadhi kwa Mwenyezi Mungu kwani huwa amemuona shetani.''

Chanzo: Al-Bukhari, Muslim 4/2092.